19 Sep 2025 11:23 am | Citizen TV 199 views Duration: 1:48 Baadhi ya wakulima katika eneo bunge la Magarini kaunti ya kilifi wameitaka serikali ya kaunti hiyo pamoja na wahisani kuwasaidia ili waweze kuendeleza kilimo endelevu.