Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa mahindi Trans Nzoia wahofia hasara kutokana na mvua na uagizaji

  • | Citizen TV
    2,825 views
    Duration: 2:45
    Wakulima wa mahindi kutoka eneo la Trans Nzoia wana hofu kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha pamoja na hatua ya serikali kuagiza mahindi kutoka nje. Wakulima hao wanasema uagizaji wa mahindi huenda ukashusha bei ya mazao yao na kuwaongezea hasara. Baadhi yao wameanza kuvuna mapema kutokana na hofu ya mazao kuharibika kwa sababu ya mvua.