Wakulima wa majani chai Nyamira walalamikia malipo duni

  • | Citizen TV
    200 views

    Wakulima wa majani chai kutoka kaunti ya Nyamira wamelalamikia malipo duni na usimamizi mbaya wa kilimo cha chai katika eneo hilo, hali wanayosema inachangia uchochole kati yao licha yao kujitahidi mashambani.