Wakulima wa miwa wamewakashifu wanasiasa wanaopinga ubinafsishwaji wa viwanda vya sukari

  • | Citizen TV
    294 views

    Wakulima wa miwa katika eneo la Magharibi wamewakashifu wanasiasa wanaopinga ubinafsishwaji wa viwanda vinne vya sukari, wakisema wanatumia swala hilo kwa manufaa yao ya kisiasa licha ya wakulima kutaabika kwa muda mrefu kutokana na uongozi mbaya wa viwanda vya sukari.