6 Nov 2025 10:40 am | Citizen TV 92 views Wakulima wa miwa kutoka eneo Bunge la bumula katika kaunti ya Bungoma sasa wanaitaka serikali kuingilia Kati Na kutatua zogo linalokumba sekta hiyo.