Wakulima wa mtama waweka mkataba Murang'a

  • | Citizen TV
    276 views

    Wakulima Kaunti ya Murang'a wamepongeza ushirikiano kati ya serikali ya Kaunti ya Murang'a na Kampuni ya uuzaji pombe ya EABL kwa kupiga jeki wakulima wa mtama.