Wakulima wa "muguka" wana matumaini makubwa ya kupata soko nje

  • | Citizen TV
    166 views

    Wakulima wa zao la muguka wana matumaini ya kupata soko katika taifa la Djibouti kufuatia mkutano na wajumbe kutoka nchi hiyo.