Wakulima wa parachichi kaunti ya Kisii wapata hasara kutokana na mlipuko wa magonjwa

  • | NTV Video
    116 views

    Wakulima wa aina ya hass ya matunda ya parachichi katika kaunti ya Kisii wanatoa wito kwa wizara ya kilimo kutafuta suluhu ya kudumu kufuatia mlipuko wa ugonjwa usiojulikana na oshambulia parachichi ukipenda avocado zao kuanzia mwezi machi mwaka huu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya