Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wafunzwa mbinu za kilimo Ngare Ndare kaunti ya Meru

  • | Citizen TV
    181 views
    Duration: 1:39
    Mamia ya Wakulima Kutoka Meru wamefunzwa mbinu za Kilimo cha kisasa kinachoweza kukabiliana na mabadiliko ya Tabia nchi na Ukame. Wakizungumza kwenye Maonyesho ya kilimo Eneo la Ngare Ndare, maafisa wa Serikali ya Kaunti pamoja Na shirika la Lewa wamesema Mafunzo hayo ya ukulima yameanza kuleta mabadiliko hasa katika eneo la Buuri ambalo sehemu kubwa hupata mvua chache.