Wakulima wakumbatia matumizi ya mbegu zinazostahimili mabadiliko ya tabia nchi Baringo

  • | K24 Video
    60 views

    Wakulima katika kaunti ya Baringo wameanza kukumbatia matumizi ya mbegu zinazostahimili mabadiliko ya tabia nchi. Hatua hii imewalazimu kujitenga na shughuli za ukulima kando kando ya ziwa Baringo jambo ambalo inaaminika limehatarisha mazingira ya ziwa hili kwa miaka kadhaa sasa.