Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wakumbwa na ukosefu wa mbolea wakati wa upanzi

  • | Citizen TV
    226 views
    Duration: 3:18
    Wakulima katika kaunti za Uasin Gishu, Trans Nzoia na Elgeyo Marakwet wanahofia kuwa huenda msimu wa upanzi ukaathirika kufuatia ukosefu wa mbolea ya ruzuku. Foleni ndefu za wakulima zimeshuhudiwa kwenye maghala ya hamla shauri ya nafaka na mazao katika maeneo mbalimbali huku baadhi wakilalamikia kukosa mbolea kwa zaidi ya wiki moja.