Skip to main content
Skip to main content

Wakulima walalamika bonasi ya chai imepungua msimu huu

  • | Citizen TV
    292 views
    Duration: 1:46
    Wakulima wa majani chai wameshauriwa kutong'oa michai kwenye mashamba yao kutokana na bonasi duni ya chai iliyotangazwa majuzi. Huu ni ushauri wa viongozi wa kina mama kutoka muungano wa wanawake wakulima wa chai wakizungumza kaunti ya Kericho.