Wakulima wanazidi kukumbatia kilimo cha kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga

  • | West TV
    47 views
    Wakulima wa eneo la Angorom katika eneo bunge la Teso Kusini kaunti ya Busia wanajivunia kukumbatia ukulima wa kisasa kutokana na mafunzo ya Shirika la Ripple Effect ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.