- 210 viewsDuration: 1:57Wakulima wametakiwa kuhakikisha wanapata pembejeo zilizodhibitishwa ubora wake ili kuepukana na hasara kubwa inayosababishwa na pembejeo bandia, ambazo mara nyingi huathiri juhudi zao na kuwapotezea muda wakisubiri mavuno yasiyofanikishwa.