Wakulima washauriwa kupanda aina bora za nyanya

  • | Citizen TV
    100 views

    Wakulima wa tomato nchini wanahimizwa kutumia aina za nyanya zinazotoa mazao mengi ili kuongeza uzalishaji wao. Wito huu wa kuchukua hatua ikijiri baada ya kukamilika kwa mradi uliofaulu katika baadhi ya kaunti, ambao ulilenga kuongeza mavuno na kukabiliana na changamoto za uzalishaji. Denis Otieno anatueleza mengi katika makala ya wiki hii ya Kilimo Biashara.