- 432 viewsDuration: 3:18Wakulima katika kaunti ya Busia wamehimizwa kukumbatia matumizi ya mbegu za kiasili na samadi isiyokuwa na kemikali ili kuzalisha vyakula bora.Wakulima hao wa mpakani ambao huuza bidhaa zao katika mataifa jirani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wametakiwa kuhakikisha kuwa bidhaa zao zimesajiliwa na shirika la kukadiria ubora wa bidhaa KEBS.