Wakulima wenye hasira wawasha moto kupinga mpango wa serikali kupunguza ruzuku
Wakulima wenye hasira walichoma matairi na uchafu Ijumaa (Januari 26) pembeni ya barabara kuu ya A20, wakipinga mpango wa serikali kupunguza pole pole ruzuku ya diesel inayotumika katika kilimo.
Kanda ya video ya aliyeshuhudia tukio hilo pia ilionyesha uchafu ukitupwa nje ya ofisi ya serikali katika mji wa Montauban.
Serikali ya Ufaransa baadae ilitangaza itasitisha mipango ya kuondoa ruzuku kwa ajili ya mafuta ya diesel lakini hilo halijatosha kuwaridhisha wakulima ambao wametishia kukusanyika katika mji mkuu Paris na matrekta yao.
Wakulima wa Ufaransa wanaishutumu serikali kwa kutochukua hatua za kutosha kuwasaidia, ushindani usiolingana kati ya nchi jirani, na viwango vya kilimo kandamizi ambavyo ni gharama kubwa kuvifuata.
Siku ya Ijumaa, kiongozi wa jumuiya kubwa kabisa ya wakulima Ufaransa –the FNSEA- alisema anatoa wito kwa wanachama wote kuendelea na harakati za kupinga mpango wa kupunguzwa ruzuku, hata baada ya serikali kusema ilikuwa na mpango wa kuboresha hali ya maisha na mazingira ya kazi ya wakulima. - Reuters.
#wakulima #Ufaransa #diesel #ruzuku #serikali #thibaultizoret #paris #montauban #voa #voaswahili
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- The MP has shown interest in running for governor of Nairobi.
13 Aug 2025
- President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
13 Aug 2025
- The ruling follows a petition filed by four individuals, among them Nakuru-based surgeon Dr. Benjamin Gikenyi, challenging the legality of the committee appointed to audit pending NHIF claims.
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- "Tusiharibu game tumestruggle sana kuijenga.”
13 Aug 2025
- The PROMISES!
13 Aug 2025
- Senior officials from the British Army Training Unit Kenya (BATUK) failed to appear in Parliament on Tuesday to answer questions about the atrocities their soldiers have committed in the country.
13 Aug 2025
- African officials and experts have warned that the unpredictability of U.S. trade policy fuels uncertainty for the continent's development.
13 Aug 2025
- For those with visual impairments, female ownership is slightly higher at 70.8% compared to males at 66.1%.
13 Aug 2025
- Staying in touch with friends and family accounts for 60.2% of usage.