Wakurugenzi wa kampuni ya Busia outgrowers wametimuliwa afisini kwa madai ya uporaji mali

  • | Citizen TV
    677 views

    Wakurugenzi wa kampuni ya Busia outgrowers wametimuliwa afisini mara moja kwa madai ya kupora Jumla ya shilingi millioni 11 ambazo kiwanda cha sukari cha Mumias kimekuwa kikikilipa kutokana na huduma za trekta za boco tangu kiwanda hicho kufufuliwa.