Wakurugenzi wa kampuni ya chai washtakiwa na wakulima

  • | Citizen TV
    116 views

    Wakulima wa majani chai katika kiwanda cha Kebirigo kaunti ya Nyamira, wameelekea mahakamani kuwashtaki wakurugenzi wa kiwanda hicho kwa madai ya ubadhirifu wa fedha za kiwanda hicho.