Wakuza-kahawa Kiambu wapata hasara

  • | KBC Video
    59 views

    Wakulima kutoka chama cha ushirika cha wakulima cha Muiru katika kaunti ya Kiambu waliamkia mshangao baada ya kupata maghala yao matupu huku magunia 121 ya kahawa yakiwa hayajulikani yaliko. Wakulima hao walioghadhabika walisema magunia yaliyoibwa yanakadiriwa kuwa ya thamani ya shilingi milioni 3.5, wakiomba waliohusika na wizi huo kuyarejesha. Timothy Kipnusu na maelezo kwa kina kuhusu wizi huo ambao umewaacha wakulima hao wa kahawa wakikadiria hasara kubwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive