Skip to main content
Skip to main content

Walazimishwa kuoana kisa maudhui ya mtandaoni

  • | BBC Swahili
    10,781 views
    Duration: 1:53
    Mahakama moja kaskazini mwa Nigeria, siku ya Jumatatu iliamuru wachekeshaji wawili maarufu wa TikTok, Idris Mai Wushirya na Basira Yar Guda kuoana ndani ya siku 60 kwa kutengeneza maudhui yaliyo kinyume na maadili, Video hizi zilionyesha jinsi wawili hao wa TikTok walivyokuwa wakionesha mahaba ya dhati hadharani kitu ambacho mamlaka za jimbo la Kano zilisema ziko kinyume na maadili, mafundisho ya dini na utamaduni wa watu wa jimbo hilo. Mwandishi wa BBC @frankmavura anatusimulia mkasa huu - - #bbcswahili #vichekesho #nigeria #maadili #mapenz Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw