25 Sep 2025 1:34 pm | Citizen TV 160 views Duration: 2:43 Mashirika yasiyo serikali yameanzisha mpango wa mafunzo maalum kwa watu wenye ulemavu katika kaunti ya Kajiado, ili kuwasaidia kupigania haki zao na kujikimu kiuchumi.