Skip to main content
Skip to main content

Walemavu wa kusikia watishia kuandamana Samburu

  • | Citizen TV
    296 views
    Duration: 3:26
    Muungano wa watu wenye ulemavu katika kaunti ya samburu umetoa makataa ya siku ishirini na moja, kwa serikali ya kaunti hiyo kushughulikia swala la ukosefu wa watafsiri wa lugha kwa ishara katika ofisi za serikali. Kulingana nao, hali hiyo inawafungia nje wanachama wao wasio na uwezo wa kuikisia wanaposaka huduma za serikali.