Walemavu walalamika kuwa haki zao zinakiukwa

  • | Citizen TV
    257 views

    Baadhi ya walemavu kutoka kaunti ya Mombasa wamekongamana katika jumba la bima tower kulalamikia changamoto ya kuingia katika jumba hilo. Kulingana nao baadhi ya majumba ya serikali hayajaangazia taratibu za walemavu kuingia na kutoka kwa urahisi likiwemo jengo hilo.