Walemavu wapata vitambulisho vipya katika kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    191 views

    Baraza la kitaifa la walemavu katika kaunti ya Kwale linaendeleza usajili wa vitambulisho vipya vya walemavu katika maeneo ya vijijini. Baraza hilo linalenga kusajili watu elfu tano kufikia mwisho wa mwaka huu katika kaunti hiyo kama anavyoarifu Lawrence Ng'ang'a.