Walemavu wataka kujumuishwa kwa serikali ya Kenya Kwanza

  • | Citizen TV
    131 views

    Watu wanaoishi na ulemavu wanaitaka serikali kuwajumuisha kwenye nyadhifa za uongozi kwenye nafasi za uteuzi. Kulingana nao, serikali ya Kenya Kwanza imewabagua kwa kutowateuwa katika nyadhifa mbalimbali licha ya kuwa wamefuzu kufanya kazi hizo.