Skip to main content
Skip to main content

Walimu kaskazini mashariki wataka TSC kuwahamisha kufuatia mashambulizi ya Al-Shabaab Garissa

  • | Citizen TV
    709 views
    Duration: 2:54
    Baadhi ya walimu wanaofanya kazi eneo la kaskazini mashariki sasa wanaitaka tume ya walimu - tsc - kuwahamisha kutoka eneo hilo. hii ni kufuatia kushambuliwa na kuuwawa kwa walimu na magaidi wa alshabab katika kaunti ya garissa. familia ya mwalimu mmoja aliyeuwawa inasema kuwa mwalimu huyo likuwa ametishiwa awali na kuelezea wasiwasi kuhusu usalama wake.