Walimu katika kaunti ya Wajir wawarejesha wanafunzi nyumbani kwa sababu za usalama

  • | VOA Swahili
    202 views
    Mwaka jana tume ya utumishi wa waalimu iliingia katika kandarasi na wengi wa walimu walioathiriwa na hali ya usalama Wajir, ambao wanatakiwa kufanya kazi katika eneo hilo kwa miaka mitatu hadi mitano kabla ya kutafuta uhamisho. Shule zilifunguliwa lakini wanafunzi hawajaendelea na masomo. Ungana na mwandishi wetu akikuletea uchambuzi kuhusu sababu zinazopelekea tatizo hilo la walimu kuwa kubwa. Endelea kusikiliza... #mwalimu #wajir #kaunti #alshabaab #kikundi #ugaidi #voa #voaswahili #dunianileo #usalama #tume #utumishi - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
    shabaab