Walimu kutoka kaunti ya Mombasa chini ya muungano wa KUPPET waanza mgomo wao

  • | Citizen TV
    1,934 views

    Shule nyingi za msingi kaunti ya Mombasa zimerekodi idadi ndogo ya wanafunzi katika siku ya kwanza ya muhula watatu licha ya walimu kuripoti kazini. baadhi ya walimu chini ya mwavuli wa chama cha KUPPET na baadhi walimu wa JSS wameandaa maandamano katikati mwa jiji la Mombasa huku wakisusia kazi. Francis Mtalaki anaangazia siku ya kwanza ya mgogo wa walimu wa KUPPET na JSS.