- 405 viewsDuration: 1:24Zaidi ya walimu 39 wa chama cha walimu wa shule za upili na vyuo KUPPET katika kaunti ya Nairobi wamepinga uamuzi wa hivi majuzi wa tume ya kuajiri walimu TSC ya kuwahamisha hadi kaunti ya Kitui, miezi michache tu kabla ya kustaafu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive