Walimu wa ECDE huko Makueni wanapewa ajira ya kudumu katika darasa la chekechea

  • | Citizen TV
    220 views

    Serikali ya kaunti ya Makueni imewapa kazi ya kudumu waalimu 497 wa darasa la chekechea mpango uliotengewa shilingi milioni 65 serikali kuu ikikoselewa vikali kwa kumezea mate darasa hilo badala ya kutoa fedha zaidi kwa serikali za ugatuzi ili kuimarisha huduma na elimu ya chekechea.