Walimu wa JSS huko Taita Taveta wafunzwa teknolojia ya Akiliunde(AI)

  • | Citizen TV
    76 views

    Ni afueni kwa waalimu 66 kaunti ya Taita Taveta baada ya kupata mafunzo maalum ya techolonjia na ubunifu kutoka kwa shirika lisilo la kiserikali la Tech Kidz Africa