- 89 viewsDuration: 2:53Walimu wa Shule za sekondari ya msingi-JSS ,kote nchini wameanza tena kushinikiza serikali kuwapa uhuru kamili wa usimamizi wa shule hizo. Wanadai kuwa kuweka shule hizo chini ya usimamizi wa shule za msingi kunadhoofisha utekelezaji wa mtaala wa umilisi (CBC). Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive