Walimu wa Kwale wa KUPPET wataka inspekta mkuu ajiuzulu

  • | Citizen TV
    520 views

    Walimu wa chama cha KUPPET Tawi la Kwale sasa wanashinikiza kujiuzulu kwa inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja na waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kufuatia mauaji ya mwalimu mwenzao Albert Ojwang