Walimu wa sekondari msingi Samburu walalamika kwa vile tume ya walimu TSC imekuwa ikiwahadaa

  • | Citizen TV
    316 views

    Walimu wa sekondari msingi katika kaunti ya Samburu wanalalamika kuwa mkurugenzi Mwenyekiti wa tume ya walimu nchini Nancy Macharia, amekuwa akiwachezea mchezo wa "dangaya toto jinga" badala ya kuwapa mkataba wa kazi ya kudumu. Walimu hao sasa wanamshinikiza Macharia kung'atuka mamlakani wakisema kuwa kuwepo kwake TSC kunawakandamiza.