Walimu wa sekondari msingi waandamana Kajiado

  • | Citizen TV
    401 views

    Maandamano sawia ya Walimu wa Sekondari msingi yamefanyika katika Kaunti ya Kajiado ambapo walimu hao wanalalamikia kupuuzwa na tume ya walimu - tsc- .