Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa sekondari msingi wataka uhuru wao

  • | KBC Video
    54 views
    Duration: 1:31
    Walimu wa Shule za Sekondari msingi katika kaunti ya Kajiado wameungana na wenzao kote nchini kushinikiza kupewa mamlaka ya kujisimamia binafsi na kutenganishwa na shule za msingi. Walimu hao wanalalmikia mrundiko wa kazi, uhaba wa wafanyakazi, na ukosefu wa motisha huku wakishughulikia idadi kubwa ya wanafunzi bila ufadhili wa kutosha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive