25 Nov 2025 10:50 am | Citizen TV 624 views Duration: 1:55 Walimu wa sekondari msingi (JSS) kaunti ya Nairobi wanaitaka serikali kuwaongezea mshahara wakisema mshahara wa sasa wa shilingi 17,000 haukithi mahitaji yao hata ya kimsingi jijini.