Walimu wa shule za sekondari wasusia kazi na kuandaa maandamano mjini Nyeri

  • | Citizen TV
    2,234 views

    Huku Walimu Walioko Chini Ya Mwavuli Wa Chama Cha Kuppet Wakianza Mgomo Wao Rasmi, Walimu Hao Wamesusia Kazi Na Kuandaa Maandamano Katika Mji Wa Nyeri. Aidha Walimu Hao Wameapa Kulemaza Shughuli Za Masomo Hadi Pale Kilio Chao Kitakaposikizwa Na Tume Ya Huduma Za Walimu - Tsc. Kamau Mwangi Anaungana Nasi Mubashara Kw Ataswira Kamili Mjini Nyeri.