Skip to main content
Skip to main content

Walimu waanza kupokea huduma kupitia bima ya SHA

  • | Citizen TV
    390 views
    Duration: 2:43
    Waalimu tayari wameanza kupata huduma zao za afya kupitia bima ya sha baada ya kukamilisha huduma kupitia bima za kibinafsi hapo jana. Hatua hii sasa ikifunga ukurasa wa zaidi ya muongo mmoja wa ushirikiano na kampuni ya bima ya minet. Tayari baadhi ya walimu wamehamia mfumo huo katika siku ya kwanza ya huduma za matibabu.