Walimu waitaka TSC kutekeleza mkataba mpya wa ajira wa miaka 2025–2029

  • | Citizen TV
    199 views

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Hesbon Otieno, anaitaka tume ya walimu TSC kufanya kipaumbele Mkataba mpya wa ajira wa miaka 2025–2029.