Skip to main content
Skip to main content

Walimu wakuu waonywa dhidi ya kuwafukuza wanafunzi

  • | KBC Video
    176 views
    Duration: 3:31
    USAJILI WA GREDI-10 Waziri wa elimu Julius Ogamba amewatahadharisha walimu wakuu dhidi ya kukataa kuwasajili wanafunzi wasio na karo wala sare kuambatana na agizo la rais. Ogamba amesema asilimia-8 ya wanafunzi wa gredi-10 bado hawajaripoti shuleni licha ya agizo hilo hivyo basi kuwasajili shuleni hakutaathiri matumizi ya rasilimali za shule mbalimbali. Waziri Ogamba alisema kuwa walimu wakuu wanaowafukuza shuleni wanafunzi watachukuliwa hatua za kinidhamu, ukiwemo uwezekano wa kupigwa kalamu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive