Walimu walalamika shughuli za elimu zimelemazwa kaunti ya Baringo

  • | Citizen TV
    400 views

    Maafisa wa chama cha walimu wa shule za msingi na vyuo (KUPPET) wanatishia kuwataka walimu wanaofanya kazi katika maeneo yanayokabiliwa na ukosefu wa usalama kuondoka huko. Wanasema hali ya ukosefu wa usalama imekithiri katika maeneo mengi ya kaunti ya Baringo.