Walimu wanachama wa KUPPET wagoma katika baadhi ya maeneo

  • | KBC Video
    112 views

    Shughuli za masomo katika baadhi ya shule zilitatizika leo kufuatia mgomo ulioitishwa na chama cha walimu wa sekondari na vyuo, KUPPET. Haya yanajiri wakati ambapo chama cha kitaifa cha walimu kimefutilia mbali mgomo wao, nacho kile cha KUPPET kikishikilia kwamba serikali haijatekeleza matakwa yao. Hata hivyo waziri wa elimu Julius Ogamba amewasihi walimu kurejea kazini huku tume ya kuajiri walimu ikishughulikia malalamishi yao. Mengi zaidi na mwanahabri wetu Fredrick Parsayo .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive