- 209 viewsDuration: 1:45Walimu wa sekondari msingi kaunti ya Kiambu wameungana na wenzao nchini kushinikiza wizara ya elimu kutenganisha sekondari msingi na shule za msingi. Kulingana nao mseto wa shule za msingi na upili unaweza kupunguza viwango vya elimu pamoja na maendeleo ya walimu.