Walimu wataohusishwa na udanganyifu wa mtihani kuadhibiwa kibinafsi

  • | Citizen TV
    159 views

    Iwapo mwalimu anayesimamia mitihani ama mtahiniwa atajihusisha na udanganyifu kwenye mitihani basi ni yeye binafsi atakayechukuliwa hatua na wala sio shule au mwalimu mkuu wa shule hiyo.