Skip to main content
Skip to main content

Walinzi wawili waaminika kukwama kwenye vifusi baada ya jengo kuporomoka mtaani South C

  • | KBC Video
    444 views
    Duration: 4:53
    Familia mbili zitakesha tena usiku mwingine mgumu kwenye eneo ambapo jengo liliporomoka mtaani South C Nairobi, huku makundi ya uokoaji yakifanya kila juhudi kujaribu kuwaokoa walinzi wawili wanaoaminika kuwa wamekwama katika vifusi vya jengo hilo. Viongozi kutoka kaunti ya Marsabit wametoa wito kwa serikali iharakishe shughuli za uokoaji. Huku haya yakijiri, uchunguzi wa kisayansi umeanzishwa ili kubaini hasa kilichosababisha ajali hiyo. Joseph Wakhungu ana habari kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive