Walinzi wote wa kibanafsi watakiwa wajiasjili kwa mafunzo

  • | K24 Video
    56 views

    Mahakama imetoa amri ya kukamatwa kwa walinzi 10 wa kilabu cha Kettle house ambao hawakujiwasilisha mahakamani kwa ajili ya kujibu mashtaka. Kumi hao ni kati ya walinzi 20 waliokamatwa pamoja na meneja wa eneo hilo la burudani baada ya tukio la ijumaa ambapo walishambulia wanahabari na maafisa wa polisi wakati wa operesheni ya NACADA dhidi ya shisha. Mamlaka ya walinzi kwa upande wake imetoa muda wa mwezi mmoja kwa walinzi wote binafsi kujisalijili kupokea mafunzo na leseni la sivyo watatiwa mbaroni.