Walioachishwa kazi KEMSA wajieleza mbele ya kamati ya afya ya seneti

  • | K24 Video
    53 views

    Walioachishwa kazi huko KEMSA na wizara ya afya kufuatia tuhuma za ufisadi wakati wa utoaji zabuni ya vyandaruya vya mbu wanadai hawakustahili adhabu hiyo. Waliokuwa katibu mkuu wa afya na afisa mkuu mtendaji wa KEMSA leo wamekuwa mbele ya kamati ya afya ya bunge la seneti, wakitaka sababu za wao kuachishwa kazi ziwekwe wazi, na wahusika wote akiwemo waziri wa afya Susan Nakhumicha wachunguzwa