Waliofariki kwenye ajali kisumu wafika 26

  • | Citizen TV
    1,515 views

    Tukisalia na maafa barabarani, idadi ya walioangamia kwenye ajali iyotokea katika mzunguko wa Kisumu coptic Ijumaa sasa imefikia watu 26 baada ya mtu mmoja zaidi kufariki akipokea matibabu hospitalini.